Thursday, Mar 13 2025
Enjoy new songs 2025 every day, Listen to audio and watch nyimbo mpya za Bongo videos in Singeli Amapiano Hip hop as well as Religious songs, including Gospel Songs and Qaswida.
Home About Contact Terms Privacy Policy

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix

 BY ADMIN   -  APRIL 8, 2019

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix

Kuanzia
tarehe 8/4-14/4 2019 simu za Infinix zitakuwa katika punguzo la bei
kupitia soko la mtandaoni lifahamikalo kama Jumia na punguzo hili
kufanyika kwa wiki moja ya JUMIA
MOBILE WEEK

JUMIA MOBILE WEEK ni wiki madhubuti kwajili ya kuuza simu kwa bei ya
punguzo, na safari hii simu za Infinix ikiwamo Infinix ZERO
6
na Infinix HOT
7
ni miongoni mwa simu zitakazopatikana kwa bei ya punguzo. Jumia
mobile week imeanza rasmi tarehe 8/4-14/4 2019.

Infinix
Mobile Tanzania
inatumia nafasi hii kuingiza simu za Infinix
katika JUMIA MOBILE WEEK ikiwamo simu zilizoingia sokoni mwishoni mwa
mwezi wa tatu kwa dhumuni la kufanya kila mtanzania aweze kuhamia
katika ulimwengu wa kidijitali, ulimwengu unaoaminika kuwa suluhisho
hata kwa yale yanavyoshindikana kufanyika kwa muda mfupi.

Na
ukiondoa matumizi ya simu kuwa kwajili ya mawasiliano tu lakini
Infinix inatambua umuhimu wa simu hasa kwa matumizi ya kujiongezea
kipata mfano Infinix ZERO 6 kupitia uwezo wake wa kamera unapata
picha sasa hii kuwa ni chombo cha biashara.
sifa kuu ya Infinix ZERO 6 ni kamera, Infinix ZERO 6 imewekwa nguvu
nyingi upande wa kamera nyuma ikiwa na MP 12+MP 24 zenye kupiga
picha/picha jongefu na mng’ao  wa hali ya juu sana, na
kamera ya mbele ni MP 20. Katika kuhakikisha Infinix ZERO 6 inakupa
picha yenye uhalisia ya mazingira husika ndipo teknolojia ya
Artifficial Intelligence inapofanya kazi yake.

Kwa
asilimia 100% Infinix ni kampuni yenye kujali wateja wake pamoja
yakuwa Infinix HOT7 inapatikana kwa bei chee katika maduka ya Infinix
lakini bado ni miongoni mwa simu zilizopo katika jumia mobile week
Infinix HOT 7 inasifika kwa kupiga muziki mzuri na hii ni kutoka na
DIRAC MODE iliyopo ndani ya Infinix HOT 7.


Na
kwa simu yoyote ya Infinix utakayonunua ndani ya mobile week itakuwa
na warranty ya mwaka mmoja.

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix

Welcome back to our site, Check out and feel free to download WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix – and all of Today’s Trending songs, because We care about what you deserve from us, you can play and download it below.

If you like WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix, please share on social media, It really helps us out and keeps us going so we can bring you more awesome stuff.

We are so glad you are here for WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix, and we would love for you to come back and visit us again soon for more music and entertainment news.

Downloa more Songs from categories: Audio,   Singeli,   Bongo flava,    Amapiano, Gospel,   Qaswida, Taarab,    Video

Download More Songs from WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix